Why is Social distancing important?

As the number ya COVID-19 cases inazidi kuongezeka nchini, lazima tuelewe umuhimu wa restrictions ndiposa tuji protect na communities zetu!

Kupunguza face to face contact na wengine wenye hawako kwa household zetu ni njia moja bora ya kupunguza the spread of COVID-19.

Swala nyeti ni; mbona ni keep distance na sijui mtu yeyote karibu na mimi mwenye amekua infected?

Social distancing ni kuweka space kati yako na other people outside of your household.

2 Reasons to za ku keep your distance hata kama ni unAfrican

  1. Social distancing ni the most effective way ya ku contain the spread of coronavirus
  2. Social distancing slows the spread ya hii virus kutoka kwa watu hawaonyeshi symptoms za ugonjwa huu na pia watu hawajui wameambukizwa

Endelea kujifunza mengi on how to protect yourself, your family na community yako. Click here.

Share your experience social distancing in community yako!

Please log in to comment